Je, una ndoto ya kuishi maisha yaliyokamilika ya kitajiri ?
Vipi kama ungeyabadilisha maisha yako na maisha ya mamia au ata maelfu ya watu
wengine ? Utakuwa na furaha kiasi gani pale ambapo ungefanikiwa kuyafikia malengo
ambayo watu wengi wanayaota?
Kupitia
Trevo ,utabadilisha maisha yako na kufikia malengo.Utahamasishwa kuishi maisha
ya hali ya juu na yenye uhuru usio na mipaka;kuishi bila madeni;kuishi maisha
ya furaha;maisha ya kutajirika;na maisha yanayotimiza malengo yako na jinsi
unavyotaka yawe mahali unataka .
Leo,Fursa
hii ya kuwa sehemu ya wafanyabiashara wa kimataifa umeishikilia mikononi
mwako,kwa yule ambaye nafasi yake ya kufanya hivyo haijabanwa.Kwa hiyo hapa
swali ni kwamba,je wewe unafikiria mbali?
Kwa kifupi lengo la
kampuni hii ni kukuwezesha wewe mpenzi wa biashara za mtandao kufikia ndoto
zako za kuondokana na umaskini ukiwa unaishi maisha yenye furaha na kuleta
mabadiliko katika maisha ya wenzako kwa kukuletea fursa hii ya biashara
yenye mpango bora wa ulipaji.
Nani Anaruhusiwa Kujiunga Na TREVO?
TREVO inamruhusu mtu yeyote
anayependa kuifanya biashara hii ya mtandao kujiunga bila kujali kiwango cha
elimu au kipato chake. TREVO inajali tu nia thabiti ya mtu aliyonayo ya kutaka
kufanya biashara na inampa mtu fursa ya kuchagua kiwango cha mtaji anachopenda
kuanza nacho na kumpa msaada wa mafunzo ya jinsi ya kufanya biashara hii ya
mtandao . Hakuna gharama za kiingilo kama
kampuni nyingine, TREVO NI BURE!
Mpango Wa Ulipaji Wa TREVO
Kampuni ya TREVO Tanzania inakuwezesha kupata malipo kutokana
na njia kuu 8 na kipato chako kitaongezeka kulingana na idadi ya chupa
ulizoanza nazo, mauzo yako kwa mwezi, idadi ya wanachama walio chini yako
(wanachama uliowaingiza kwenye kampuni na walioingizwa na wale uliowaingiza
n.k.) na mauzo ya wanachama walio chini yako.
TREVO Tanzania inalipa bonus ya papo kwa hapo pale
unapomwingiza mwanachama mpya. Kwa mfano, kama wewe ni mwanachama uliyeanza na
chupa 3 kwa Tshs 389,200/ na ukamwingiza mwanachama mwingine chini yako
wa chupa 3 kama wewe, unapata bonus ya papo kwa hapo ya 100,800/.
Trevo inakupa malipo kwa kila chupa ya ziada unayonunua wewe
na walio chini yako kwa kiwango cha asilimia 20 ya bonus yako. Trevo inafanya
hivyo kwa kila mwanachama aliye chini yako hadi ngazi 8.
Tofauti Ya Kampuni Ya Trevo Na
Nyinginezo
1. Trevo ina
viwango tofauti vya kuanzia kufanya biashara, ambapo unaweza kuchagua kiwango
unachoona kinakufaa. Viwango hivi vimetajwa kama PS1 … hadi PS6. PS1 ni
kiwango unachoweza kuanzia kwa mtaji wa Tshs 156,500/ na PS6 ni
kiwango cha kuanza biashara kwa mtaji wa Tshs 2,832,500/.
2. Unaweza kujiunga na Trevo na kuamua kuuza biashara yako
kwa reja reja na ukapata faida za kati ya asilimia 20 hadi 40. Fikiria
kununua product kwa Tshs. 84,000/ na kuuza kwa Tshs. 165,000/, hicho
kikiwa ndio kiwango cha chini.
3. Kwa ujumla kuna njia tofauti 8 za kupata fedha kutokana na
kufanya biashara ya kirutubisho cha Trevo.
4. Kampuni inatoa tovuti binafsi ya bure kwa kila
mwanachama aliyejiunga ili aweze kuitumia katika kuendesha biashara yake.
5. Mafunzo kuhusu uendeshaji wa biashara hii hutolewa kila
siku na ni bure!
6. Kampuni ina bidhaa moja tu inayojiuza yenyewe kwa sababu
mtu akiitumia tu inatoa mafanikio ya ajabu kabisa hivyo lazima atawaambia
wenzake wenye matatizo kama yake ili nao waitumie. Ukifanya biashara na kampuni
hii unauza mali yako yote na kubakia na faida yako mkononi bila kuwa na
mrundikano wa bidhaa ambazo hazijauzwa ndani ya nyumba yako.:
Namna Ya Kujiunga Na Trevo
Ni rahisi mno kujiunga na
Trevo na ukaanza kutengeneza pesa siku hiyo hiyo, sio utani. Kinachotakiwa ni bidii yako,
ingawa uzoefu unasaidia zaidi. Tumia njia yo yote iliyo rahisi kwako kati ya
hizi nilizoziorodhesha hapa chini kuwasiliana nami. Naahidi kukujibu mara
moja na kukupa mwongozo wa jinsi ya kujiunga na kuanza kunufaika na biashara ya
kampuni hii BURE kabisa.
Kwa maelezo zaidi jinsi ya kujiunga wasiliana
nasi kupitia promota927@gmail.com au piga simu kwenye nambari
zifuatazo: +255 655 858027 au +255 756 181651.
au tembelea www.trevo.co.tz kwa maelezo zaidi.

0 comments:
Post a Comment