Jikomboe Youth Group ni kikundi cha vijana kilicho jikita katika shughuli zifuatazo ;
- Kutoa mafunzo ya ujasiliamali namna ya kutambua na kutumia fursa mbalimbali zilizopo ili kuwezesha vijana kujiajiri wenyewe.
- Tunahamasisha michezo mbalimbali ili kukuza vipaji na kuongeza ajira kupitia michezo mbalimbali.
- Tunakemea na kutoa elimu kwa jamii juu ya matatizo mbalimbali yanayo ikabili jamii kama vile; Uharibifu wa Mazingira,Maambukizi ya virusi vya ukimwi unyanyasaji wa kijinsia,matumizi ya madawa ya kulevya nk.
- Tunabuni na kuanzisha miradi mbalimbali ya kikundi ili kuwezesha kikundi kufanya shughuli zake na kutoa ajira miongoni mwa wanakikundi na jamii kwa ujumla.
0 comments:
Post a Comment